FIFA: Semi-Automated ni Swala Muda Kutumika Kwenye Kombe la Dunia Qatar 2022

Raisi wa FiFA Gianni Infantino ameweka wazi kuwa kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka huu kuna uwezekano wa kutumia machine na binadamu (Semi-automated) kwa pamoja ili kuwaze kuondoa utata wa wachezaji kuotea ‘offside’.

Pia FIFA kuanzia mwaka huu wamethibitisha kuwa kanuni ya maingizo ya wachezaji watano kuwa kanuni rasmi, awali ilitambulishwa ikiwa ni kwa ajiri ya matumizi ya muda tu kwenye kipindi cha korona, Kuanzia novemba ambapo michuano ya kombe la dunia inaanza kutakuwa na ‘substitutions’ tano.

FIFA

Raisi wa Gianni Infantino wakati akiwa anafanya kikao na waandishi wa habari alinukuliwa akisema, nikizungumzia Semi-automated na nikiasi gani tumefanikiwa ikiwa kama tutatumia kwenye mashindano ya kombe la dunia, kwa taarifa nilizopewa nikiwa kwenye kikao nikuwa kuna maendeleo mazuri kwa majaribio yaliofanyika kwenye kombe la dunia la klabu na Diarra Cup.

Sasa tunaangalia ikiwa tutaweza kuitumia kwenye kombe la dunia au lah. Tukirudi kwenye maingizo ya wachezaji watano ambapo awali ilianzishwa kwa ajiri ya korona na wadau wengi waliipitisha na kwa maamuzi tuliyofanya ni kuwa kanuni mpya kutumika moja kwa moja.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

Acha ujumbe