FIFA Kufanya Maamuzi ya Kutumia Teknolojia ya Offside Ndani ya Miezi 2

Shirikisho la mpira wa miguu Dunia FIFA kufanya maamuzi ndani ya miezi miwili ikiwa teknolokia ya kutambua offside itatumika au lah na kwa sasa inafanyiwa majaribio kwenye michuano ya FIFA Club World Cup jijini Abu Dhabi.

Shirikisho la mpira duniani wanaamini kuwa matumizi ya teknolojia yatasaidia sana kupunguza maauzi tata, yaliopo kwenye mchezo wa mpira wa miguu, na wanaamini wataweza kuitumia kwenye michezo ya kombe la dunia itakayofanyika mwaka huu nchini Qatar.

Ikiwa majaribio yanayofanyika kwenye michuano ya FIFA Club World Cup jijini Abu Dhabi yatafanikiwa, basi ndio itakuwa tiketi ya kutumika kwenye michuano ya kombe la dunia mwaka huu, mwenyekiti wa FIFA akiwakilisha kitengo cha referee, Pierluigi Collina alinukuliwa akisema.

“Najua hili ni kichwa cha habari ‘robot offside’ au kitu kinachofanana ni hicho, lakini sio jambo kubwa, umeshaona kwamba teknolojia ni kifaa kinachotumika na binadamu kumrahisishia kazi, ujumbe unatumwa kwa VAR na VAR watatumia taarifa iliyotumwa  kuweza kufanya maamuzi ya mwisho.”


KASINO YA MTANDAONI: EMOTICOINS SABABU YA KUVUNA ZAIDI.

Haijawahi kuwa rahisi hivi kwenye safari yako ya kuvuna mkwanja, kasino maridhawa ya meridianbettz inakuletea mchezo wa Emoticoins unaokupa nafasi ya kufanya safari yako kuwa rahisi zaidi. Wakati ni wako nafasi ni yako na Emoticoins.

senegal, Senegal Mabingwa AFCON 2021., Meridianbet

CHEZA HAPA.

 

Acha ujumbe