Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limepanga kufanya kikao jijini Doha Nchini Qatar siku ya alhamisi kuzungumzia kuiwekea vikwazo zaidi nchi ya Urusi na maamuzi zaidi yanatarajia kufanyika.

Mazungumzo yanakuja baada ya FIFA kuzifungia timu zote za Urusi, sio za taifa wala klabu ambazo kushiriki mashindano ambayo yanaandaliwa na shirika la hilo mpaka hapo tamko la kuruhusu tena kutolewa.

Vikwazo sawa na hivi pia viliwekwa na shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya UEFA.

Mkutano ambao tafanika kwenye ukumbi wa Doha Exhibition & Convention Center ambao utahusu agenda ya 72 ya kikao cha FIFA kuhusu vikwazo au kumfuta mwanachama, nchini ya Ukraine haitashiriki ila Urusi itashiriki kwenye mkutano huo.


3500 NI YAKO UKIJIUNGA TU MERIDIANBET!

Una nafasi ya kupata bonasi ya shilingi 3500 kwa ajili ya kuanza safari yako ya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet.

Kubeti Poa - Bonasi Kubwa

Jisajili sasa

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa