Saturday, September 24, 2022
Nyumbani Football French Cup

French Cup

Neymar

Neymar: “Ningependa Kucheza Marekani”

0
Mshabuliaji wa timu ya taifa ya Brazili na klabu ya Paris Saint Germain Neymar amesema kuwa angependa kwenda kucheza nchini Marekani kwenye ligi ya Major League Soccer angalau kwa msimu mmoja kabla ya kustaafu kucheza mpira. Neymar kwa sasa yuko...
Neymar

Neymar Apona Majeruhi Kuwakabili Real Madrid

0
Mshambuliaji wa klabu ya Paris Saint Germain Neymar amatarajiwa kuongeza nguvu kwenye mchezo wa klabu bingwa barani Ulaya dhidi ya Real Madrid baada ya madaktari kuthibitisha kuwa amepona kabisa na sasa anaweza kujumuishwa kikosini. Mshambuliaji huyo wa kimataifa kutokea Brazil...

PSG Yatolewa Michuano ya French Cup

0
Timu ya Paris Saint-Germain imevuliwa ubingwa wa French Cup baada ya kushindwa kusonga hatua ya robo fainali baada ya kwenda sare ya 0-0 na kupigiana mikwaju ya penati 6-5 na timu ya Nice siku ya Jumatatu. Mabingwa watetezi walikuwa wakitafuta...
Messi

Messi ni Miongoni mwa Wachezaji 4 wa PSG Wenye Uviko-19

0
Mshindi mara saba wa Ballon d'Or winner Lionel Messi ni miongoni mwa wachezaji wanne wa Paris Saint-Germain wenye maambukizi ya Uviko-19 baada kupima kabla ya mchezo wa kombe French Cup kesho Jumatatu. Klabu ya PSG ilimuongeza mfanyakazi wake mmoja ambaye...

MOST COMMENTED

UEFA: Nani Kubaki Nani Kwenda Robo Fainali?

0
Hatua ya kumi na sita bora ya michezo ya ligi ya mabingwa ulaya "UEFA Champions League" kumalizaka je nani atakwenda nane bora na nani...

HOT NEWS