UEFA Kufanya Mabadiliko Kwenye Mchezo wa Leicester City vs Roma
UEFA wamepanga kuanza kutumia Video Assistant Referee (VAR) kwenye michezo ya nusu fainali ya Europa Conference League kulingana na taarifa zilizoropiwa nchini Italia.
Leicester City kwa mara ya kwanza wanacheza nusu fainali ya mashindano ya ulaya ambayo yanaandaliwa na UEFA...