Romelu Lukaku Nje Michezo Miwili
Mshambuliaji wa kimataifa wa Ubelgiji Romelu Lukaku atakosa michezo miwlili ya kimataifa ya mashindano ya UEFA National League kutokana na majeraha ya enka ambayo aliyapata kwenye mchezo dhidi ya Uholanzi.
Romelu Lukaku atakosekana kwenye mchezo wa jumatano dhidi ya Poland...