Wednesday, June 15, 2022
Nyumbani Football UEFA Nations League

UEFA Nations League

Rangnick Aanza Vyema na Timu ya Austria

Rangnick Aanza Vyema na Timu ya Austria

Kocha mpya wa timu ya taifa ya Austria Ralf Rangnick ameanza kwa ushindi mnono na timu ya taifa ya Austria kwa kuicharaza 3-0 Croatia katika michuano ya UEFA Nations League ya mwaka huu. Baada ya kumaliza muda wake na klabu...
Karim

Karim Benzema: Siwezi Kufanya Zaidi Ili Kushinda Ballon d’Or

0
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Karim Benzema amesema kuwa kwa msimu huu amefanya kadri alivyoweza kufanya na klabu yake ili kuweza kushinda tuzo ya Ballon d'Or baada ya kuisadia klabu yake kushinda makombe mawili ya La liga na...
Dusan Vlahovic

Dusan Vlahovic Atemwa Kwenye Kikosi cha Serbia

0
Mshambulia nyota wa klabu ya Juventus  Dusan Vlahovic ameachwa lkwenye kikosi cha timu ya taifa ya serbia kwa michezo ya UEFA Nations League, lakini kuwa wachezaji nane wanachezea ligi kuu ya Serie A kwenye kikosi cha timu ya Serbia. Serbia...

MOST COMMENTED

Barcelona: Koeman Kutua Camp Nou

38
Baada ya Quique Setien kuachishwa kazi kama kocha wa Barcelona. Rais wa timu ya Barcelona - Josep Maria Bartomeu, amethibitisha Ronald Koeman kuwa kocha...

HOT NEWS