Callum Ilott Kuitumikia Ferrari 2021.

Wahenga walisema ‘nyota njema huonekana asubuhi’. Haya ni maisha ya kijana chipukizi – Callum Ilott ambaye amekuwa akilelewa na timu ya Ferrari.

Baada ya kufanya vizuri kwenye Formula 2 na kumaliza katika nafasi ya 2 nyuma ya bingwa Mick Schumacher, muingereza Callum Ilott sasa ni rasmi ataipeperusha bendera ya Ferrari kwenye mashindano ya F1 mwakani.

Ilott atahusika zaidi kwenye mbio za majaribio na atahudhuria Grand Prix kama sehemu ya timu ya Ferrari.

Ilott akiwa na tuzo ya kumaliza nafasi ya pili kwenye Mashindano ya Formula 2.

Ilott alifanya majaribio ya pili kwenye F1 kwenye mbio za Abu Dhabi ambapo kijana huyu mwenye umri wa miaka 22, alimaliza mizunguko (laps) 93 akiwa anaitumikia timu ya Alfa Romeo ambayo ni washirika wa Ferrari.

Akizungumzia fursa hii, Callum Ilott amesema ” hii ni fursa kubwa. Ni heshima kubwa kuwa kwenye mfumo wa vijana wa Ferrari kwa miaka 3 iliyopita na jukumu hili jipya ni changamoto ya kuvutia.


BURUDIKA NA WANYAMAPORI WAKIIMBA NA KUPIGA VYOMBO VYA MUZIKI!

Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, furahia mchezo wa Forest Rock. Hapa utaburudika na umahiri wa wanyapori wanaoimba na kutumia vifaa vya muziki wa rock. Burudika huku ukijiwekea nafasi ya kutengeneza pesa ndefu kupitia Meridianbet!!

INGIA MCHEZONI!

19 Komentara

    Safi sana

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Goon new

    Jibu

    Safii

    Jibu

    Nic

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Kila lakheri callum

    Jibu

    Go young champ keep fulfilling your dream

    Jibu

    Ferrar imepata mtu

    Jibu

    Nice

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Habari njema

    Jibu

    Nihabari njema

    Jibu

    Vizuri

    Jibu

    Good news

    Jibu

    Safi sana

    Jibu

    Safi

    Jibu

    Callum kafurahi sana

    Jibu

Acha ujumbe