Makala nyingine

Max Verstappen ameeleza kuwa  boss wa Mercedes Toto Wolff alimtumia ujumbe wa kumpongeza kutokana na ushindi aliyoupata kwenye mashindano ya Formula 1 usiku wa jana jijini Abu Dhabi. Awali Mercedes …

Kwa miaka mingi, 2021 huenda ndio mwaka ambao mpaka msimu unaelekea mwisho, bingwa wa Formula 1 hajulikani. Wikiendi 2 kuamua nani ni nani. Zimebaki mbio mbili kukamilisha msimu wa Formula …

Kama ambavyo nchi zinavyowania nafasi ya kuendesha mashindano ya Kombe la Dunia, ni vivyo hivyo kwenye Formula 1 [F1], Spanish GP mambo safi! Uhispania sasa ni uhakika, watakua kwenye kalenda …

Msimu wa Formula 1, 2021 unaelekea ukingoni zikiwa zimesalia mbio tatu kumaliza msimu. Vita ya Timu Mercedes vs Timu Red Bull, inapamba moto. Mbio tatu za majaribio zimemalizika alasiri hii. …

Bingwa mtetezi wa Formula 1, Lewis Hamilton bado anahali mbaya msimu katika harakati za kutetea taji lake. Hamilton ameshaachwa kwa pointi 19 dhidi ya mpinzani wake mkuu, Max Verstappen (Red …

Hakika, huu ni msimu ambao Formula 1 inashuhudia upinzani mkubwa kati ya Lewis Hamilton vs Max Verstappen. Madereva wawili wanaowania ubingwa 2021. Zikiwa zimesalia mbio 5 tu kumaliza msimu wa …

Max Verstappen alitania “ninaweza kulala” baada ya Lewis Hamilton kusema kwamba mpinzani wake wa taji anaweza kuwa na wasiwasi wakati anapigania taji la ubingwa wa ulimwengu. Dereva wa Red Bull …

1 2 3 4 5 6