Mbio za Sakhir GP zimemalizika wikiendi hii kwa Mmexico – Sergio Perez kuibuka kidedea likiwa ni taji lake la kwanza kwenye maisha ya mchezo huu.

Sergio Perez ambaye anaumri wa miaka 30, amebeba taji hilo akiwa na timu ya Red Bull na amemaliza mkataba wake wa kuitumikia timu hiyo.

Licha ya kuutwaa ubingwa wa Sakhir Grand Prix, Perez amenukuliwa akisema “baada ya leo, ninataka kuendelea kubaki hapa.

 

Sergio Perez, Sergio Perez Abeba Taji la Sakhir GP., Meridianbet
Perez Baada ya Kumaliza Mbio za Sakhir GP.

“Chaguo sahihi kwangu ni kuendelea kuwepo hapa 2021, kama itatokea hilo haliwezekani – halitokuwa ni janga, ninaweza kurudi 2022.”

Timu ya Red Bull imeamua kuachana na Perez kwa msimu wa 2021 na badala yake, Sebastian Vettel ambaye amekuwa bingwa wa F1 mara 4, anakwenda kuchukua nafasi ya Perez.


MALIZA MWAKA KIBINGWA KWA KUJISHINDIA SHEA YAKO KWENYE SHILINGI 140,000,000Tsh!!

Kipindi hiki cha sikukuu kinamalizika kwa namna ya kipekee. Shilingi 140,000,000 kushindaniwa katika michezo ya Evolution kwenye Kasino Mubashara ya Meridanbet. Ingia mchezoni na ujiwekee nafasi ya kushinda shea yako!!!

Sergio Perez, Sergio Perez Abeba Taji la Sakhir GP., Meridianbet

SOMA ZAIDI

20 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa