Kuelekea mbio za Spanish GP kunako muendelezo wa mbio za langalanga, Valtteri Bottas amezianza vyema mbio za majaribio.

Bottas amefanikiwa kumaliza katika nafasi ya kwanza akimzidi Max Verstappen (Red Bull) kwa sekunde 0.033 sambamba na Lewis Hamilton (Mercedes) kwa sekunde 0.123

Huu ni muendelezo wa upinzani mkubwa kati ya Mercedes na Red Bull huku timu za McLaren na Ferrari zikiongeza chachu ya pinzani nyuma ya timu hizi mbili vinara wa F1.

Nani atafanikiwa kuibuka kidedea kwenye mbio za Spanish GP mwaka huu? Hakika vita ya Mercedes vs Red Bull inapamba moto!


TENGENEZA FAIDA KUPITIA MCHEZO WA TITAN DICE UKIWA NA MERIDIANBET KASINO

Unapokuwa kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, huna sababu ya kucheza kwa mashaka. Titan Dice, ni mchezo unaweza kukupatia mamilioni kwa mzunguko mmoja!

Spanish GP, Spanish GP: Bottas Aongoza Mzunguko wa Kwanza., Meridianbet

SOMA ZAIDI

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa