Kama ambavyo nchi zinavyowania nafasi ya kuendesha mashindano ya Kombe la Dunia, ni vivyo hivyo kwenye Formula 1 [F1], Spanish GP mambo safi! Uhispania sasa ni uhakika, watakua kwenye kalenda …
Makala nyingine
DR Congo ina vilabu viwili vikubwa [AS Vita na TP Mazembe] ambavyo vitatikisa soka la Afrika! Lakini ukiangalia wachezaji wanaoanza kwenye kikosi cha timu ya taifa hakuna mchezaji wa AS …
Qatar kuandaa mashindano ya Formula 1 Grand Prix kwa mara ya kwanza novemba hii, ikichukua nafasi ya Australian GP baada ya kufutwa mashindano hayo. Mashindano hayo yamepangwa kufanyika kwenye uwanja …
Hakika mbio za Formula 1 msimu huu ni vita kubwa! Lewis Hamilton vs Max Verstappen, kwa mara ya nne msimu huu mwendo wao ni tairi kwa tairi msimu huu. Pengine …
Kuelekea mbio za Spanish GP kunako muendelezo wa mbio za langalanga, Valtteri Bottas amezianza vyema mbio za majaribio. Bottas amefanikiwa kumaliza katika nafasi ya kwanza akimzidi Max Verstappen (Red Bull) …

