Pambano la Tyson Fury na Anthony joshua lenye thamani ya mamilioni ya dola linatarajiwa kufanyika mwezi Agosti, huku mipango ya pambano hilo ikionekana kuwa inasua sua kwa kukwamishwa na baadhi ya changamoto kadhaa.

Hata hivyo, hii haijazuia wana ndondi hawa kuendelea kutupiana maneno, kila mmoja akiendelea kutamba kuwa yeye ni bora na atamchakaza mwenzake. AJ tayari aliweka wazi kuwa haiwezekani kuwepo na mfalme wa ndondi duniani zaidi ya mmoja, na yeye ndiye.

Frank Warren

Fury amekuwa akimtupia AJ maneno mengi ya maudhi mtandaoni, akimtaka ajiandae na kichapo cha chap chap wakati wa pambano lao na kusisitiza kuwa hadhani kama anaweza kusimama kwa zaidi ya raundi tatu ulingoni.

Fury kwa sasa anaendelea na mazoezi huko Las Vefas, na alizungumza kama mtu aliyefurugwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Katika mengi aliyoyasema hii ni sehemu mojawapo;

“Ninaenda kuupasua uso wako pia, na hakuna kitu hata kimoja unaweza kufanya. Niumekuwa nikifikiria ujumbe kwa ajili ya AJ. AJ kama ukifikisha raundi tatu kupambana na mimi, nastaafu. Kwa sababu nina uhakika wa kukuchapa kwenye raudni mbili za awali.” – Anthony Joshua


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa