Familia ya Glazer ambayo inamiliki klabu ya Manchester United imetaja bei ya kuiuza Manchester United kwa mtu atakayetaka baada ya sakata la European Super League.

Familia ya Glazer imekuwa chini ya presha sana kutoka kwa mashabiki wa mashetani wekundu kutokana na sakata la Super League. Familia hiyo ilinunua Manchester United mwaka 2005 kwa pauni milioni 790 tu! Lakini sasa wanataka pauni bilioni 4.

Glazer waweka pauni bilion 4

Mamia ya mashabiki wa United walikusanyika nje ya Old Trafford wakitaka familia ya Glazer iiachie klabu hiyo ili irudi kwenye muhimili sahihi. Mashabiki wengi wameishutumu familia hii kwa kukusanya hela kwa ajili ya matumbo yao na wala sio kwa ajili ya timu.

Manchester United wamekuwa wakitumiwa na familia hiyo katika kutaka hela ambao wamekuwa wakisaini mikataba mingi ya udhamini huku kiwango cha madeni kwa United kikiongezeka siku hadi siku.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

glazer, Glazers Wataka Pauni Billion 4 Kung’oka United, Meridianbet

CHEZA HAPA

14 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa