Haikuwa habari nzuri kwa wadau wa michezo kote ulimwengu, iliporitiwa kuwa mchezaji wa gofu – Tiger Woods amepata ajali mbaya ya gari kule jijini Los Angeles, Marekani.

Ilikuwa ni Februari 23,2021 zilipotoka taarifa kupitia vyombo mbalimbali kuwa Tiger Woods amepata ajali ya kupinduka kwa gari akiwa Los Angeles, Marekani. Wengi hawakutegemea kuwa Woods angetoka salama kwenye gari lile kutokana na ajali kuwa mbaya zaidi.

Siku zilikwenda, muda ukapita na sasa Woods anaendelea na matibabu akiwa nyumbani kwake jijini Florida, Marekani.

Awali, mamlaka za usalama kule Los Angeles hazikutoa chanzo cha ajali ya mcheza gofu huyu kwa kile kilichoripotiwa kuwa uchunguzi unaendelea kuhusu ajali ile. Waswahili husema, ‘chenye mwanzo, hakikosi kuwa na mwisho’.

Gofu, Gofu: Uchunguzi wa Ajali ya Tiger Woods, Umekamilika., Meridianbet
Gari alilopata nalo ajali Tiger Woods

Hatimaye uchunguzi wa ajali aliyoipata Tiger Woods umekamilika. Hii ni kwa mujibu wa Askari wa Los Angeles – Alex Villanueva.

Villanueva amesema, ” Kila kitu kimeshakamilika, kimesainiwa, kuhifadhiwa na kupatiwa muhusika. Lakini, hatuwezi kutoa taarifa yeyote bila ridhaa ya watu wote waliohusika kwenye mchakato huu.

“Tulishazungumza na Tiger Woods na watu wake na kulikuwa na baadhia ya vitu binafsi kuhusu kutoa taarifa za uchunguzi.

“Tutawauliza kama wataondoa kipengele hicho na kisha tutaweza kutoa taarifa zote kuhusu ajali ile.”


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Gofu, Gofu: Uchunguzi wa Ajali ya Tiger Woods, Umekamilika., Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa