Makala nyingine

Rory Mcllroy ameondoa ukame wa kubeba mataji baada ya kuibuka kidedea kwenye mashindano ya Wells Fargo Champions kwa mara ya 3. Ni wiki 6 tu zimepita, tangu Rory aanzekufanya kazi …

Tiger Woods atayakosa shindano la Masters 2021, linalofanyika kati ya Aprili 8–11, 2021 ikiwa ni kumbukizi ya miaka 20 ya ushindi wake wa “Tiger Slam” pale Augusta National. Woods, bado …

Mchezaji wa tenesi mwanamke namba 1 kwa ubora duniani – Ashleigh Barty, ameibuka tena kwenye ulimwengu wa michezo, safari hii ni kwenye mchezo wa gofu. Japokuwa hatokuwepo uwanjani kutetea taji …