Mshindi wa mara kumi na tano Tiger Woods amepelekwa hospitalini baada ya kuhusika katika ajali mbaya ya gari huko California.

Mchezaji huyo wa miaka 45 aliondolewa kwenye ajali hiyo na wazima moto wa Kaunti ya Los Angeles, ambao walilazimika kutumia kunusuru maisha yake baada ya gari lake kupata ajali muda mfupi kati ya saa 7 Jumanne asubuhi.

Taarifa ya polisi ilisema: “Mnamo Februari 23, 2021, saa 7:12 asubuhi, LASD ilipata taarifa ya mgongano wa gari moja kwenye mpaka wa Rolling Hills Estates na Ranchos Palos Verdes.

Tiger Woods

“Gari hilo lilikuwa likisafiri kuelekea kaskazini kwenye Hawthorne Boulevard, katika barabara ya Blackhorse, lilipopata ajali. Gari hilo liliharibika kwa kiasi kikubwa.

“Dereva wa gari hiyo aliyekuwa pekee alitambuliwa kama mcheza gofu wa PGA, Eldrick ‘Tiger Woods. Bwana Woods aliondolewa kutoka hapo na wazima moto na wahudumu wa Kaunti ya Los Angeles, kisha wakamsafirishwa kwenda hospitali ya eneo hilo na ambulensi akiwa majeraha yake. ”

Kulingana na CNN, majeraha ya Tiger Woods yalikuwa ni ya “wastani hadi mahututi”, wakati TMZ inadai kuwa vyanzo vimethibitisha kuwa pombe haifikiriwi kuwa sababu inayochangia ajali hiyo.


TENGENEZA FAIDA KATIKA SLOTI PENDWA HAPA MERIDIANBET

BusttheBank ni sloti inayokupa Mkwanja wa kutosha. Ndio, hii ni sloti inayokupa faida ya hadi mara kibao ya dau lako. Ni Meridianbettz pekee utakapoweza kupata burudani hii.

tiger woods, Tiger Woods Apata Ajali na Kiwahishwa Hospitali, Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa