​​​​​​​Kuelekea mchezo wao wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs utakaochezwa kesho, Kocha Mkuu wa Simba, Didier Gomes, amesema ana matarajio makubwa kutoka katika kikosi chake na kwenye mchezo wa soka hakuna kisichowezekana.

gomes

Gomes ameeleza kuwa alifanya makosa katika mechi ya kwanza kwa kutumia viungo wawili ambao walikuwa wakiziba nafasi na kuwafanya wapinzani wao kucheza mipira ya juu.

gomes

“Wao wametufunga kwao mabao 4-0, nakiri hatukucheza vizuri hasa kwenye safu ya ulinzi kitu ambacho benchi la ufundi limefanyia kazi kuondoa makosa yote, tunapaswa kupambana kiume, wachezaji, benchi la ufundi, viongozi pamoja na mashabiki tunatakiwa kujua kwenye mpira kila kitu kinawezekana na tunajiandaa kufanya vizuri,” alisema Gomes.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa