Meneja wa Manchester City Pep Guardiola amesema klabu hiyo haina uwezo wa kuwasajili washambuliaji Erling Haaland au Harry Kane pamoja na kudhibitisha ataachana na mshambuliaji wake Kun Aguero mwishoni mwa msimu.

Guardiola amesema itakuwa vigumu kupata mbadala wa Aguero ambaye ni mfungaji bora wa muda wote katika klabu hiyo aliyekosa nusu ya msimu kutokana na majeraha pamoja na Covid-19.

 

guardiola, Guardiola :City Haina Uwezo wa Kumsajili Haaland au Kane., Meridianbet

Uchumi wa klabu mbalimbali umetetereka katika kipindi hichi kutokana na ugonjwa wa Covid-19 na hilo haliko tofauti na upande wa Guardiola ambao unaweza kuathiri katika usajili wa majira ya kiangazi.

“Nataka kuwa wazi, labda tutatafuta mchezaji mpya wa kuchukua nafasi ya (Aguero) kwa maana ya (magoli) hiyo haiwezekani.

“Kwa Bei hizi, haiwezekani – hatuwezi kumudu. Hiyo haiwezi kutokea. Klabu zote zina pambana kiuchumi na kwetu pia sio tofauti.” aliongeza Guardiola.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

guardiola, Guardiola :City Haina Uwezo wa Kumsajili Haaland au Kane., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa