Meneja Pep Guardiola anaamini Barcelona ingeshinda mataji mawili au matatu ya Ligi ya Mabingwa endapo wangeweza kumshawishi mshambuliaji wao Neymar asiondoke.

Barcelona ilimsajili Neymar mwenye umri wa miaka 21 mnamo mwaka 2013 kutoka Santos kwa pauni milioni 49, ambayo ilimwona akiunda moja ya safu bora ya ushambuliaji (utatu mtakatifu).

Ilionekana kuwa biashara nzuri kwa wababe hao wa Katalunya baada ya Neymar kuisaidia kilabu kushinda mataji mawili ya LaLiga, matatu ya Copa del Rey na kombe la Ligi ya Mabingwa katika kipindi chake cha miaka minne huko Nou Camp.

Neymar basi aliushtua ulimwengu mnamo 2017 alipoihama Barca kwa rekodi ya uhamisho wa pauni milioni 198 kwenda PSG ili kukitoroka kivuli cha Messi na kujaribu kushinda taji la Uropa bila yeye.

 

guardiola, Guardiola: Neymar Aliondoka na Mataji Barcelona., Meridianbet

Sasa katika mwaka wake wa nne huko Paris, Neymar alikaribia kutimiza lengo lake lakini alikosa ushindi katika fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Bayern Munich.

Kabla ya mkutano wao siku ya Jumatano, ambapo Manchester City watatarajia kuizuia PSG kufikia fainali ya pili mfululizo, Guardiola alimjaza sifa supastaa huyo wa Brazil wakati pia alifunua mazungumzo ambayo alifanya na kikosi chake cha Barcelona kabla ya kukutana na Santos ya Neymar kwenye Kombe la Dunia la Klabu ya FIFA ya 2011.

”Niliwaambia, huyu ndiye mfalme wa Santos na wachezaji wote walikuwa wamebaki midomo wazi, “oh mungu wangu ni mchezaji gani”. Furaha ya kutazama kama mtazamaji, “Guardiola aliwaambia waandishi wa habari Jumanne.

”Anaibeba Brazil kwenye mabega yake, namba 10 si rahisi kuvaa. Nina hakika ikiwa angebaki Barcelona wangeshinda Ligi ya Mabingwa mara mbili au tatu na Lionel Messi na Luis Suarez.

”Aliamua kwenda Paris, jiji zuri na klabu nzuri kutoka nje. Ninachotaka ni yeye kuwa na utulivu, kucheza kwa njia ya kawaida, lakini mimi ni mtu anayempenda sana kwani husaidia kuboresha mpira wetu na ni raha kwangu kucheza dhidi yao na yeye. ”Guardiola aliongeza


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

13 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa