Haji Manara msemaji wa moja ya timu inayoiwakilisha Tanzania katika mashindano ya Ligi Klabu Bingwa Afrika timu ya Yanga amezungumza kupitia clip fupi ya mtandao wa instagram changamoto walizo kutana nazo baada tu ya kufika katika ardhi ya Nigeria ambako utachezwa mchezo wa marudiano kati yao na Rivers United yenye makazi yake katika mji wa port harcourt  nchini Nigeria.
Haji Manara
Haji ,Manara

Manara kupitia clip huyo amesema ” Kutoka Hapa port harcourt nchini nigeria mabingwa mara 27 tayari tushatua hapa na wachezaji ndo wanaingia vyumbani, tumeingia air port ya Port harcourt majira ya saa tano usiku lakini kutokana na mazingira ya kupokelewa tumeingia hotelini saa 10, kwetu sisi yanga tulisha jiandaa na changamoto hii , kesho kwenye uwanja wa Adokie majira ya saa 10 alasiri, wachezaji wa mabingwa wa ki historia wata fanya mazaoezi ya mwisho kujiandaa na mechi ya marudiano dhidi ya livers United.”

Haji manara pia ameomba watanzania na mashabiki wa Yanga kiujumla kuiombea timu hiyo kuelekea mchezo huo utakao chezwa jumapili ya tarehe 19 mwezi huu.

 


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa