Harry Kane amekuwa akihusishwa kuondoka katika klabu ya Tottenham na kujiunga na vilabu kama Manchester City na Manchester United na ili Spurs waendelee kuwa na mchezaji huyo wanapaswa kuanza kutwaa mataji ili kumbakisha Kane hii ni kwa mujibu wa Jonathan Woodgate.

Harry Kane Anahitaji Makombe Tu - Woodgate

Kane, ambaye alisema ataangalia hatima yake baada ya mashindano yaliyocheleweshwa ya Euro 2020 na England, amesema yupo tayari kutemana na Spurs ili kutafuta mataji.

Mchezaji huyowa miaka 27bado hajafanikiwa kutwaa taji na klabu yake hiyo ya utotoni, ambayo imemfungasha virago Jose Mourinho siku ya Jumatatu na wanajiandaa kwaajili ya fainali ya EFL Cup siku ya Jumapili dhidi Manchester City.

Beki wa zamani wa Tottenham Woodgate ambaye kwa sasa ni kocha mkuuwa timu ya Championship Bournamouth alikuwa sehemu ya ushindi wa taji la EFL Cup mwaka 2008.

Amesema ” Tottenham wanapaswa kuanza kushinda mataji kwa uwanjwa waliojenga sasa na wachezaji alionao.”

“Wana straika bora wa Uingereza Harry Kane kwa hiyo watakiwa waanze kutwaa makombe kwaajili yake, yeye anataka mataji tu.

Kane amefikisha mabao 20 katika Premier League kwa msimu watano akifunga bao la kwanza katika sare ya 2-2 dhidi ya Everton wiki iliyopita laikini badaye alilazimika kutoka kwa jeraha la kifundo cha mguu.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Harry, Harry Kane Anahitaji Makombe Tu – Woodgate, Meridianbet

CHEZA HAPA

11 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa