Kocha wa Inter Milan, Antonio Conte amewaambia kikosi chake kuwa ni wakati wa kufunga mdomo na kupiga peda kuelekea kutwaa ubingwa wa Serie A.

Inter wapo katika nafasi nzuri sasa, wakiwa na pointi 11 kileleni mbele ya AC Milan ambao wapo nafasi ya pili wakiwa kwenye mzunguko wa 30 wa mechi za Serie A.

 Jumapili, Inter watakuwa na nafuu ya kuwa wenyeji dhidi ya Cagliari, na Conte amekuwa makini kuhakikisha timu yake haipunguzi spidi licha ya kuwa karibu zaidi na ushindi wa taji wa mapema, na wanahitaji kutazama jitihada za timu zingine ili wasiruhusu kupoteza.

Antonio Conte Inter Milan

Conte amekiambia kikosi chake kuwa kwakuwa taji bado halijapatikana, basi ni kama hawajafanya kitu chochote bado, hadi pale watakapo hakikisha wana taji mikononi.

Tangia alipoteuliwa mwaka 2019, Conte amejitahidi kupalilia jitihada za kikosi ambacho kimeweza kuwa na ushindani mkubwa na sasa kipo hatua moja karibu na ushindi mkubwa wa kuwang’oa Juventus kwenye utawala wa miaka tisa mfululizo.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Conte, “Hatujafanya Chochote Bado” – Conte, Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa