Mkurugenzi wa uwekezaji GSM, Injinia Hersi Said ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Yanga, amesema usajili wa safari hii watatumia utaratibu tofauti.

Hersi
Amesema miongoni mwa wachezaji wanaowafuatilia, hakuna mchezaji hata mmoja kutoka klabu ya Simba.

“Huo ulikuwa uvumi tu, Yanga haikuwa na mpango wa kusajili mchezaji wa aina yeyote pale Simba. Sisi Kama GSM tukitaka mchezaji hapa Tanzania hatuwezi kushindwa na hatutoshindwa. Usajili wa Bakari Mwamnyeto ni mfano”

hersi, Hersi: Tumejipanga, Tunakuja Kivingine, Meridianbet
Bakari Mwamnyeto

“Katika orodha ya wachezaji ambao tunawafuatilia, hakuna mchezaji anatoka Simba. Usajili wa Yanga mwaka huu mtapata majibu tu, ni usiri mzito,” amesema Hersi Said.


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

Mini Power Roullete

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa