Kocha mkuu wa AS Vita, Florentine Ibenge amekubali mziki wa Simba SC baada ya hapo jana kukubali kipigo cha magoli 4-1 katika mashindano ya ligi ya mabingwa barani ulaya.

Magoli ya Simba yaliwekwa wavuni na Luis Miquissone (30′), Clatous Chama (45+1′, 84) na Larry Bwalya (66′) huku lile la kufutia machozi kwa AS Vita likiwekwa wavuni na Zemanga Soze (32′).

 

“Sina cha kusema ila Simba walikuwa bora zaidi yetu na wamestahili kusonga mbele hatua ya robo fainali,” alisema Florent Ibenge, Kocha Mkuu wa AS Vita.

“Vilabu vya Tanzania kwa sasa vina pesa kwenye soka ndio maana wachezaji wengi kutoka DR Congo wanakimbilia huku,” – aliongeza.

Simba SC kwa sasa anaongoza kundi akiwa na alama 13, Ahly 8 AS Vita 4 na Al Merrikh 2 huku timu zote zikisalia na mchezo mmoja.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

CHEZA HAPA

6 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa