Kelechi Iheanacho amewasogeza karibu zaidi Leicester City kwenye mbio za kumaliza kwenye nne bora katika Ligi Kuu England baada ya kuwapa ushindi juzi.

Leicester City walipata ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Crystal Palace kwenye mchezo muhimu kwao.

Iheanacho

Mshambuliaji huyo ambaye amekuwa kwenye kiwango cha juu msimu huu alifanikiwa kufunga bao la pili kwa ufundi wa hali ya juu. Sasa Leicester wamefikisha pointi 62 zikiwa ni alama nne mbele ya Chelsea waliopo nafasi ya nne msimamo wa Ligi.

Iheanacho
Iheanacho na Vardy

Hata hivyo, kwenda juu nafasi ya pili ni kazi ngumu kwao kwa kuwa pia wapo nyuma ya Man United kwa tofauti ya pointi tano. Iheanacho amekuwa mchezaji muhimu kwenye timu hiyo akiwa amefanikiwa kufunga mabao 14 katika michezo 14 ya michuano yote iliyopita


KWANI MERIDIANBET WANASEMAJE! MKWANJA UPO KWENYE KASINO MPYA YA MINI POWER ROULETTE.

mini power roulette

Unawezaje kukosa ubingwa ndani ya kasino hii maridhawa, Nafasi ya kushinda mkwanja ni kwa kila mtu, Meridianbet inakupa nafasi ya kuwa mmoja ya washidi leo, unasubiri nini?

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa