Mshambuliaji wa Leicester City na timu ya taifa ya Nigeria, Kelechi Iheanacho, amesaini mkataba mpya wa kuendelea kubaki klabuni hapo mpaka 2024.

Akiwa na umri wa miaka 24 pekee, Iheanacho yupo kwenye kiwango thabiti msimu huu akiwa ameshapachika magoli 3 katika michezo 4. Kiwango chake kimemfanya mshambuliaji huyo apatiwe tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Machi kunako EPL.

Iheanacho, Iheanacho Kusalia Leicester Mpaka 2024., Meridianbet
Kelechi akiwa na tuzo yake ya mchezaji bora wa mwezi (EPL) Machi, 2021.

Tangu ajiunge na Leicester City (2017) akitokea Manchester City, Kelechi ameitumikia timu hiyo kwa jumla ya michezo 117 na kuzifumania nyavu mara 32.

“Siwezi kuelezea ninavyojisikia. Nimefurahi sana kwa Leicester City kuniongezea mkataba. Ninajisikia vizuri kuwa hapa, imekuwa kama ni familia. Ninafurahi kuwa hapa na ninaimani nitaendelea kuwepo hapa kwa miaka mingi zaidi.” amesema mchezaji huyo.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Iheanacho, Iheanacho Kusalia Leicester Mpaka 2024., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa