Baada ya wamiliki wa timu ya Inter Milan kuonyesha dalili za kutaka kumuuza mshambuliaji wa timu hiyo, Romelu Lukaku kwaajili ya kubalance daftari la mahesabu la klabu hiyo mashabiki wameingilia kati.

 

inter milan, Inter Milan : Mashabiki Kuzuia Dili la Lukaku., Meridianbet

Raisi wa Inter Milan, Steven Zhang alitaka kuuteka ulimwengu wa soka akiwa na  Milan. Lakini sasa inaonekana klabu hiyo inataka kuanguka mikononi mwake.

Miezi mitatu tu baada ya taji la kwanza la Serie A la Inter baada ya miaka 11, rais wa klabu anapigiwa kelele na mashabiki kwa kuzingatia kumuuza mshambuliaji wao Romelu Lukaku.

Kumbuka, Nerazzurri, tayari wamempoteza meneja wao Antonio Conte, na beki bora wa kulia msimu uliopita, Achraf Hakimi, tangu walipotwaa Scudetto.

Mashabiki wanaamini, kitendo cha Raisi wa klabu hiyo kukubali zabuni ya Chelsea kumnunua mchezji huyo itakuwa ni kitendo cha usaliti.

Katika bango lililofunguliwa nje ya makao makuu ya klabu mnamo Jumatano, ‘Curva Nord’ yalionya wamiliki kwamba “Ahadi lazima zitimizwe”. Ilikuwa tishio dhahiri.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa