Katika kuelekea miaka 113 ya kuanzishwa kwa klabu ya Inter Milan imebadili nembo yao waliokuwa wakiitumia kwenye msimu mpya wa mwaka 2021/ 2022.

Nembo mpya Nerazzurri ni nyeupe sana na rangi za jadi nyeusi na hudhurungi zilizoonyeshwa na imelinganishwa nembo ya watengenezaji wa gari Volkswagen.

 

Inter, Inter Wabadili Nembo Kuelekea Msimu wa 2021/22., Meridianbet

Nembo hiyo haitajumuishwa kwenye mashati msimu ujao lakini kutakuwa na uhusiano wa kufanya kazi kati ya Inter na Pirelli.

“Tunafanya mazungumzo na [Alessandre] Antonello, [Beppe] Marotta na wakurugenzi wengine wa Inter,” mtendaji mkuu wa Pirelli Marco Tronchetti Provera aliiambia Gr Parlamento.

“Hatutakuwa wadhamini wa vifaa vya Nerazzurri tena, lakini uhusiano wetu na klabu utaendelea.” alisema aliyekua mdhamini Pirelli


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Inter, Inter Wabadili Nembo Kuelekea Msimu wa 2021/22., Meridianbet

CHEZA HAPA

8 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa