Inter Milan wametangaza rasmi uzi wao mpya wa ugenini wa msimu ujao 2021-22.

Uzi huu umetawaliwa na rangi nyeupe, kama ilivyo kawaida kwa jezi zao nyingine za ugenini. Ubunifu zaidi umeongeza nyoka aliyepambwa kwa rangi ya bluu akionekana kutokea nyuma ya jezi kuja mbele.

Jezi inakamilishwa na soksi na bukta za rangi nyeupe, zilitotiwa rangi ya bluu kidogo mwishoni.

Muonekano wa mbele, ukiacha nyoka wa bluu, kuna maneno pia na logo ya timu na Nike. Maneno yameandikwa ‘$ Inter Fan Token by Socios.com’ sehemu ya kifua na nyuma ya jezi kuna neno ‘Lenovo’.

 

Inter Watangaza Uzi Mpya wa Ugenini

Inter Watangaza Uzi Mpya wa Ugenini

Inter Milan wanaitambua jezi yao mpya kama “Icon” ambayo wanaiwasilisha kwa kushirikiana na Nike, kama walivyochapisha kwenye kurasa za mitandao yao.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa