FIGC wametangaza rasmi uzi wao mpya wa ugenini wa PUMA, ikiwa ni sehemu ya mradi wao wa “Only See Great”

Jezi hii ya ugenini ya Italia imetengenezwa katika namna ambayo inalenga kuonesha uzalendo, utamaduni na umaridadi wa Italia.

Italia

Uzi huu wa rangi nyeupe una logo kwenye kifua, inayotenganisha mistari miwili ya rabgi ya kijani na nyekundu. Chini ya logo ya PUMA na Italia, kuna neno ITALIA.

Italia

Kwa mujibu wa mkurugenzi wa ubunifu Heiko Desens, wamezingatia bunifu za jezi zilizopita na kuongeza ubunifu mpya utakaoleta hamasa na nguvu mpya.

“Jezi inawakilisha umahiri wa taifa la Italia, na kuwapa hamasa ya kufanikisha mambo makubwa kwenye michuano mikubwa ya kiangazi. Tunataka kuendelea kuvuka mipaka” Heiko Desens


 

MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Italia, Italia Watangaza Uzi Mpya wa Ugenini, Meridianbet

CHEZA HAPA

12 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa