Mshambuliaji wa Aston Villa Jack Grealish ameripotiwa kukubaliana masharti binafsi na Manchester City kuelekea dili la kuhamia dimbani Etihad msimu huu wa joto.

Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uingereza anaaminika kuwa ndiye anayeongoza kwenye orodha ya uhamisho ya kikosi cha Pep Guardiola, ambaye pia anahusishwa na mpango wa kumsajili Harry Kane wa Tottenham Hotspur.

Kwa mujibu wa Football Insider, Grealish amepewa ofa nzuri sana na mabingwa wa Ligi Kuu, na mshambuliaji sasa amefikia makubaliano juu ya masharti binafsi na klabu hiyo.

Tetesi za Soka Barani Ulaya.

Ripoti hiyo inadai kuwa mchezaji huyo wa miaka 25 hajiandai kulazimisha kuondoka Villa, lakini Man City wana matumaini ya kukubaliana na ada ya uhamisho ya takribani pauni milioni 90.

Licha ya Grealish kusaini kuongeza mkataba na klabu yake mwezi September, bado timu ua Dean Smith haijaweza kumpa Grealish mkataba wenye masharti mpya na ulioboreshwa zaidi hapo Villa Park.

Mshambuliaji huyo, ambaye bado yuko likizo baada ya kushiriki katika Mashindano ya EURO 2020 msimu huu wa joto, alifunga mara saba na kusajili asisti 12 kwenye mechi 27 za Villa wakati wa kampeni ya 2020-21


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa