Jack Grealish hatocheza mpira kwa wiki chache, lakini bosi wa Aston Villa Dean Smith amesisitiza jeraha lililopo kwa nahodha wake si tatizo “la muda mrefu”.

Jack Grealish Kukaa Nje ya Dimba kwa Wiki Chache

Villans wamekuwa wakimkosa nahodha wao tangu  alipovunjika katika kujiandaa na ushindi wa Ligi Kuu dhidi ya wapinzani wa Midlands Leicester mwezi Februari 21.

Amerejea mazoezini, lakini Grealish alipata tatizo kabla ya mchezo na Fulham na akajikuta amerudi kwenye chumba cha matibabu.

Smith amewaambia maripota pale alipoulizwa kutoa taarifa mpya kuhusu Grealish: “Kimsingi Jack alikuwa akijiandaa wiki iliyopita, na ni labda mimi na Jack inawezekana tulikuwa na uvumilivu mdogo wa kujaribu kurejesha.

“Alitaka kurejea kwenye mchezo dhidi ya Tottenham March 21 na tulijaribu kumsukuma kwenye mchezo dhidi ya Fulham na alipata tatizo ambalo linaweza kumuweka nje kwa wiki chache.

“Habari njema ni kwamba siyo jeraha kubwa, kwa hiyo ataendelea kujitizamia na atarejea kabla ya msimu haujaisha ipo hivyo.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

Jack, Jack Grealish Kukaa Nje ya Dimba kwa Wiki Chache, Meridianbet

CHEZA HAPA

4 MAONI

  1. Jack Grealish pole Sana kwa majeraha
    Mwenyezi mungu amfanyiye wepesi apone majeraha alinayo ili arudi kwenye hali yake kama zamani

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa