Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika.  Pia, hata katika huduma zao kwa njia ya mtandao (online betting) ni za kiwango cha kuridhisha wakiwa na chaguzi nyingi (options) na odds za kuridhisha.

Pia, unaweza kubet kwa kiwango cha chini kuanzia hata kiasi cha TShs. 100 na pia wanazo njia nyingi za kuweka na kutoa pesa katika account yako.

Kama hujaweza kujiunga na Meridianbet fuata maelekezo haya hapa chini uweze kujiunga na kucheza na kushinda huku ukifurahia huduma zao bomba.

HATUA YA 1.

Fungua tovuti ya Meridianbet kwa kubofya hapa MERIDIANBET TANZANIA na kisha ubofye sehemu iliyoandikwa register au jisajili kama utakuwa umechagua lugha ya Kiswahili

Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. 

Chagua lugha hapa:

HATUA YA 2

Baada ya kuwa umebofya register au jisajili itafunguka fomu ambayo utajaza taarifa zako kisha utabofya next kuendelea na hatua itakayofuatia na katika fomu hii utajaza vitu vifuatavyo:

  1. Majina yako
  2. E-mail/Barua pepe yako
  3. Password/Neno la siri
  4. Tarehe, mwezi na mwaka wako wa kuzaliwa

Pia, kumbuka kutiki sehemu yenye kibox iliyoandikwa terms and conditions kuonesha kuwa umekubaliana na masharti ya Meridianbet.

Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. 

HATUA YA 3

Baada ya kuwa umebofya next fomu itakupeleka katika hatua ya pili ambapo pia utajaza taarifa zako ambazo ni:

  1. Jinsia
  2. Address/Anuani yako
  3. Mji unaoishi
  4. Namba yako ya simu (kumbuka namba yako hii ya simu ndiyo utakayokuwa unaitumia kutoa na kuweka pesa katika akaunti yako ya Meridianbet)
  5. Promo code (hapa unatakiwa kuweka tiki katika kibox kilichopo hapo na kuweka promo code ambayo ni neno RED)
  6. Kisha unaweza kuweka tiki katika Newsletter kama unahitaji kuwa unatumiwa taarifa mbalimbali katika email yako.

HATUA YA 4

Baada ya hapo utabofya kwenye register/jisajili kisha utatumiwa link katika email yako uliyoandika ambapo utatakiwa kuingia na kubofya link waliyokutumiwa kwenye email yako ili kuactivate akaunti yako.

Baada ya hapo utakuwa umefanikiwa kujiunga na Meridianbet na unaweza kuingia kwa kutumia email yako na password uliyochagua tayari na kuanza kuweka mikeka yako.

KUTAMBUA NAMBA YAKO YA AKAUNTI YA MERIDIANBET

Ni muhimu kutambua namba yako ya akaunti ya Meridianbet kwani ndiyo utakayokuwa unaitumia kuweka pesa katika akaunti yako ya Meridianbet ikiwa kama reference number au namba ya kumbukumbu ya malipo.

Ili kuweza kuitambua namba yako ya akaunti baada ya kuwa umeingia katika akaunti yako ya Meridianbet bofya sehemu iliyoonesha email yako. Baada ya kufanya hivyo utaona sehemu iliyoandikwa Account ID na hizo namba ndiyo namba zako za akaunti.

Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. 

Meridianbet ni kampuni bora inayoongoza Tanzania kwa katika mchezo huu wa kubashiri (betting) ama kwa jina lingine maarufu kama mikeka. Kampuni hii kwa sasa inayo maduka yake (betshops) sehemu mbalimbali ndani ya Tanzania na wanaongoza kwa kutoa huduma zilizo bora na za uhakika. 

Hapo unaweza kuweka dau la lako kuanzia Shilingi 100/= katika michezo unayotaka kubashiri kulingana na machaguo yako.

Kama una swali au unahitaji msaada wowote kuhusu kujiunga na kuitumia Meridianbet usisite kuuliza hapa. Tutafurahi sana kukusaidia.

52 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa