Mmiliki wa Liverpool John W Henry amelazimika kuwaomba radhi jumuiya nzima ya Liverpool kufuatia kitendo cha kujiunga na European Super League.

Katika mazungumzo na Sky Sports, Henry amesema kwamba ligi hiyo isingeendelea bila makubaliano kutoka kwa mashabiki. Kutokana na Liverpool kutangaza kujiunga na Super League, mashabiki wa timu hiyo duniani kote walionesha kusikitishwa na kukasirishwa na kitendo hicho huku wakitaka mmiliki huyo aondoke klabuni hapo.

henry

Henry pia amuomba radhi Jurgen Klopp, kocha mkuu wa timu ya Liverpool kutokana na ukweli kwamba hakupendezwa na kitendo cha timu yake kujiunga na ESL. John Henry alikubali kuwa matatizo yote yaliyotokea ni juu yake na yeye pekee ndiye anayetakiwa kupata lawama.

Kauli hizo za mmiliki huyo zimekuja kutokana na timu hiyo kutangaza kujitoa rasmi kwenye ligi hiyo baada ya mashabiki, wachezaji na kocha kutofurahishwa na kitendo hicho.


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

Henry, John Henry Aomba Radhi Liverpool, Meridianbet

CHEZA HAPA

15 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa