Jose  Mourinho aliikosoa timu yake kwenye ushindi wa goli 5-1 katika ushindi wa wake wa sita mfululizo tangu achukue mikoba ya kuinoa timu ya Roma msimu huu.

Jose Mourinho alikuwa mkali baada ya dakika ya 10 tu timu yake kuruhusu goli, huku ikiwachukua dakika 15 kuweza kusawazisha kupitia Lorenzo Pellegrini.

jose mourinho
jose mourinho

Ingawa Mourinho  hakulizishwa na kiwango cha timu yake, lakini alimsifia kapteni wake Pellegrini na kufichua siri kuwa atasaini mkataba mpya na timu hivi karibuni.

Mourinho alinukiliwa akisema “siku mbili zilizopita tilifanyia mazoezi hili, lakini mabeki hawakufanya hivyo, hawakuwa na waledi wa kutosha, walipoteana sana.”

“Siwezi sema tulicheza vibaya, ila hatukufanya vizuri na hakika ushindi wa 5-1 haukutosha, ndio sisis ni bora kuliko CSKA Sofia, lakini hatukufanya juhudi za kutosha kutosha.”

Magoli ya Roma yalifungwa na Lorenzo Pellegrini alifunga magoli mawili, Stephan El Shaarawy, Gianluca Mancini, huku Tammy Abraham akifunga goli la mwisho na goli pekee la CSKA-Sofia likifungwa na Graham Carey.


MKWANJA NJE NJE NA DISCO FUNK

Unaanzaje siku yako na kuimaliza bila kupitia katika kasino bomba za meridianbettz, mchezo mashuhuri wa Disco Funk unaweza kukufanya uwe mshindi leo hii.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa