Kulingana na Jarida la Goal, Kalbu ya Juventus imethibitisha kuanza mazungumzo mapya na Sassuolo kwaajili ya kumsajili kiungo, Manuel Locatelli.

 

juventus, Juventus Warudi Upya kwa Locatelli., Meridianbet

Locatelli amekuwa mchezaji anyenyatiwa zaidi na Juventus baada ya msimu bora wa 2020-21 huko Sassuolo, pamoja na kuisaidia Italia kutwaa Euro 2020.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 23 pia amehusishwa na Arsenal, lakini anataka kuhamia Bianconeri na kucheza kwenye Ligi ya Mabingwa.

Juventus walikataliwa ofa ya mkopo ya miaka miwili na chaguo la kumnunua mchezaji huyo moja kwa moja kwa milioni 30 (£ 26m / $ 35m).

Goal inataarifu kuwa Sassuolo wanataka angalau € 40m (£ 34m / $ 47m) kwa kiungo huyo, ambaye yuko chini ya mkataba kwenye Uwanja wa Mapei hadi 2023.


KUWA SHUJAA KATIKA KASINO ZA MERIDIANBET!

SHOOT! mchezo unaokupa nafasi ya kupambania ushindi wako mkubwa kwenye kasino ya mtandaoni ya Meridianbet! Usisubiri hii, jiunge sasa kufurahia ushindi!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa