Timu ambazo zitashiriki mashindano klabu Bingwa Afrika Mashariki na kati (Kagame Cup ) 2021 inayotarajia kufanyika jijini Dar Tanzania.

1-Simba SC (Tanzania 🇹🇿)
2-Yanga SC (Tanzania 🇹🇿)
3-Azam FC (Tanzania 🇹🇿)
4-Biashara United (Tanzania 🇹🇿)
5-Gor Mahia FC (Kenya 🇰🇪)
6-Tusker FC (Kenya 🇰🇪)
7-Express FC (Uganda 🇪🇹)
8-APR FC (Rwanda)
9-Le Messager FC (Burundi)
10-Fasil Katema FC (Ethiopia)
11-Mogadishu City/Horseed (Somalia)
12-Arta Solar7 (Djibout)
13-KMKM (Zanzibar 🇹🇿)
14-Tp Mazembe (DR Congo)

-Tarehe, ratiba na makundi ya Kagame Cup yanatarajia kutangazwa hivi karibuni.


FURAHIA KASINO MTANDAONI HUKU UKITENGEZA MKWANJA!!

Kasino ya Mayan Eagle inakukufanya kuwa bingwa wakati wowote unapoamua kuicheza. Utaburudika huku ukiendelea kutengeza mkwanja mrefu, jiunge sasa na uwe miongoni mwa mabingwa!!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA HAPA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa