Kocha mkuu wa Kaizer Chiefs, Gavin Hunt amezungumzia mipango yake juu ya jinsi anavyotarajia kumaliza matumaini ya Simba kurejea katika mchezo wa mkondo wa pili wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa ya CAF kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.

Ningejuta sana katika dakika 10 zilizopita ni kwamba hata matokeo yangeisha kwa bao 4-1, wangeweza kupata matumaini. Kwa hivyo, ilikuwa furaha kubwa kumaliza [na bila kuruhusu bao,”
Kaizer chiefs coachNadhani tutajaribu, ikiwa tunaweza kufunga bao moja ugenini basi ni kweli [tutakuwa moja kwa moja katika nusu fainali], nina maanisha hiyo itakuwa kazi rahisi kufanywa na vijana wangu.”

Nimekuwa [Tanzania] hapo awali; tulicheza na Azam [nchini Afrika Kusini] na tulipokwenda kwao walibadilika ma kuwa timu tofauti kabisa, ilionekana kama walikuwa na wachezaji 12-13 [uwanjani].
Kaizer chief vs simba
Kwa hivyo, dhidi ya Simba tunatarajia utakuwa mchezo tofauti kabisa; ni timu kubwa yenye uwezo mkubwa wa kumiliki mpira lakini sisi tuna faida ya bao [4-0]; tutafanya kazi kwenye mazoezi na kujaribu kuboresha vitu tunavyoweza, ndio jambo tunaweza kufanya.”


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa