Kikosi Kaizer Chiefs cha Wachezaji 23 kilichopo nchini Tanzania kwenye mchezo wa marudiano dhidi ya Simba SC .

 

kaizer chiefs, Kaizer Chiefs : Kikosi Kilichotua Tanzania., Meridianbet

Walinda Mlango .
Bruce Bvuma🇿🇦
Daniel Akpeyi, 🇳🇬
Itumeleng Khune🇿🇦

Walinzi :
Njabulo Blom 🇿🇦
Reeve Frosler 🇿🇦
Daniel Cardoso 🇿🇦
Anthony Akumu Agay🇰🇪
Happy Mashiane 🇿🇦
Mulomowandau Mathoho🇿🇦
Ramahlwe Mphahlele🇿🇦
Kgotso Moleko🇿🇦
Yagan Sasman🇿🇦
Siphosakhe Ntiya- Ntiya🇿🇦
Siyabonga Ngezana🇿🇦

Viungo :
Philani Zulu🇿🇦
Kearyn Baccus 🇳🇿
Lebogang Manyama🇿🇦
Willard Katsande 🇿🇼
Nkosingiphile Ngcobo🇿🇦

Washambuliaji :
Bernard Parker 🇿🇦
Samir Nurković 🇸🇰
Leonardo Castro 🇨🇴
Lazalous Kambole🇿🇲

Ikumbukwe Kaizer Chiefs anaongoza kwa jumla ya magoli 4-0 waliyoyapata katika mchezo wa kwanza Jijini Johannesburg, South Africa Jumamosi iliyopita.


UNAWEZA KUWA MILIONEA WAKATI WOWOTE!

Zungusha na ushinde mkwanja wako papo hapo baada ya mzunguko kukamilika. Ni kugusa tu 🤑.

kane, Kane Aweka Wazi Maazimio Yake Kucheza UEFA., MeridianbetBASHIRI SASA

4 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa