Maendeleo kuhusu hatima ya Lionel Messi yanakwenda haraka kuliko ilivyotarajiwa, na baada ya Barcelona kutangaza kuwa hawatoendelea naye siku ya Alhamisi usiku, kaka wa Emir wa Qatar amethibitisha kwamba Muargentina huyo anasaini Paris Saint-Germain.

Kaka wa Emir wa Qatar Athibitisha Messi Kusaini PSG

Khalid bin Hamad Bin Khalifa Al-Thani, ambaye ni kaka wa Emir ambaye anamiliki PSG, alithibitisha katika ujumbe wa mitandao ya kijamii kuwa mazungumzo na Messi yamekamilika na utambulsho utafuata hivi karibuni.

“Mazungumzo yamekamilika rasmi, kutakuwa na tangazo baadaye #Messi,” Al-Thani alichapisha kwenye Twitter.

Habari hii haishangazi kwani Pep Guardiola aliamua Manchester City isiingie kwenye mbio za kumsaini Messi katika mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya mechi Ijumaa, na ni dhahiri ni vilabu viwili tu vinavyomilikiwa na matajari ndugu vingeweza kumudu kumsaini Messi.

Katika harakati zao za kushinda Ligi ya Mabingwa, PSG sasa wamegeukia washindi waliothibitishwa, na Sergio Ramos na Messi wakileta mataji manane ya Ligi ya Mabingwa kati yao huko Parc des Princes.


VUNA MKWANJA NA KASINO ZA MERIDIANBET!

Unakila sababu ya kuwa moja ya mamilionea katika kasino za mtandaoni za meridianbettz, Mchezo wa Ruby Casino Queen unaweza kukufanya ujishindie mkwanja mrefu. Furahia ubora wa kasino zetu na njia kibao za kuwa mshindi leo hii ukiwa na mrembo Ruby.!

tetesi, Tetesi za Soka Barani Ulaya., Meridianbet

CHEZA SASA

ONI MOJA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa