Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane amekubali kwamba kwasasa hajui kama ataendelea kubaki katika klabu hiyo baada ya majira ya kiangazi.

Kane 27, amekuwa katika kiwango bora katika klabu ya Tottenham katika miaka mitatu iliyopita, hu akihusishwa na tetesi za kuondoka katika klabu hiyo ili kushinda mataji.

“Nadhani hilo ni swali gumu kujibu hivi sasa,” Kane aliwaambia waandishi wa habari alipoulizwa ikiwa lazima aondoke Tottenham ili kushinda mataji.

 

kane, Kane Kuamua Hatma Yake Baada ya Euro., Meridianbet

“Ni muhimu kwamba mtazamo wangu wote uko kwenye michezo miwili ya England inayokuja sasa na msimu uliobaki na Spurs na kisha Euro.

“Kufikiria juu ya tetesi kunaweza kudhuru utendaji wangu mwenyewe.

“Daima napenda kuzingatia lengo moja na kazi moja na hiyo ni kumaliza kwa nguvu na Spurs, kushinda mechi hizi za kufuzu na England na natumai kuendelea na kuwa na Euro kubwa.

“Angalia, ninajaribu kujiepusha na dhana hiyo iwezekanavyo. Nimejikita kikamilifu kufanya kazi hiyo uwanjani kuanzia sasa hadi mwisho wa msimu wa joto na ndipo tutaona tuendako kutoka huko. ” aliongeza Kane


Maana Kamili ya Ushindi Katika Kasino za Meridianbeti ni Pamoja na Mchezo wa Tropical Wild.

Hii ndiyo burudani yenye ushindi! Ingia kwenye kasino ya Meridianbet kufukuzia ushindi huu. Cheza sasa Tropical Wild na uwe moja ya washindi na Mabingwa.

kane, Kane Kuamua Hatma Yake Baada ya Euro., Meridianbet

CHEZA HAPA

7 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa