Mshambuliaji wa Tottenham, Harry Kane anatarajiwa kuiambia klabu hiyo anataka kuondoka ikiwa watashindwa kufuzu kushiriki Ligi ya Mabingwa msimu ujao.

Kane anazidi kuwa na wasiwasi juu ya Tottenham kushindwa kugombea Mataji Makubwa.Mchezaji huyo wa miaka 27 hatatoa uamuzi wa mwisho juu ya maisha yake ya baadaye hadi baada ya mashindano ya EURO msimu huu wa joto, ambapo atakuwa nahodha wa England.

 

kane, Kane : UEFA Kipaumbele Kuondoka Tottenham., Meridianbet

Kane ana mkataba na Tottenham hadi Juni 2024 baada ya kusaini mkataba wa miaka sita mnamo 2018 wakati Mauricio Pochettino alikuwa meneja na klabu imekuwa ikisisitiza kuwa hauzwi.

Manchester United na Real Madrid wamekuwa wakihusishwa mara kwa mara na Kane, ambaye ni mfungaji bora wa nane katika historia ya Premier League, wakati bosi wake wa zamani wa Spurs, Mauricio Pochettino sasa anasimamia Paris Saint-Germain, moja ya vilabu tajiri barani huenda vikamshawishi atue kwao kwa ushawishi wa Kocha wake.


JILIPE KWA NAMBA ZAKO ZA BAHATI NA KENO

Kila mtu ana namba zake za bahati, Meridianbet tunatambua namba zinaweza kukufanya milionea leo. Jilipe kwa namba zako za bahati kila baada ya dakika tano.

kane, Kane : UEFA Kipaumbele Kuondoka Tottenham., Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa