Punditi wa mpira wa miguu na mwanasoka wa zamani wa Manchester United anaamini kwamba mchezaji wa Chelsea Mason Mount ni mchezaji bora na wale wanaobeza kiwango cha mchezaji huyo ni “wajinga

Kijana wa miaka 22 tu amefanikiwa kujitengenezea mazingira mazuri katika klabu yake ya Chelsea chini ya kocha Thomas Tuchel.

Mount ameendelea kuonesha ubora wake hasa katika likizo ya michezo ya kimataifa akiwa timu ya taifa ya Uingereza. Mount ameonesha kiwango kizuri na kuwa mchezaji pendwa wa Kocha wa Uingereza Gareth Southgate.

Keane, Roy Keane Awaita “WAJINGA” Wanaombeza Mason Mount, Meridianbet
Mount katika mchezo wa Uingereza

Na nahodha wa zamani wa Manchester United anaamini kwamba Mount ni mchezaji machachari sana, na amethibitisha hilo kwa kote katika klabu yake na timu ya taifa.

“Kabisa, ni muhimu sana, kama kocha wako anakupenda”, Keane aliiambia Televisheni moja ya Uingereza.

“Haijalishi watu walio nje ya mchezo wanawaza, kuna wajinga wengi tu huko. Mount ni mchezaji mzuri na anafanya hivyo kote katika eneo la ulinzi na hata eneo la ushambuliaji!” alimalizia Keane.

Mount Mason amefanikiwa kufunga goli na moja na kutoa pasi ya goli moja katika mchezo wa kimataifa wa kuwania kufuzu kombe la dunia 2020 kati ya Uingereza na Albania.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

Keane, Roy Keane Awaita “WAJINGA” Wanaombeza Mason Mount, Meridianbet

CHEZA HAPA

5 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa