Makala nyingine

KMC FC imetamba kuwa imejidandaa vyema kukutana na wapinzani wao Yanga kesho kwenye gemu ya Ligi ya NBC Tanzania. Klabu hiyo imebainisha kupitia msemaji wake kuwa wamejizatiti kukumbana na mtiti …

Kuelekea mchezo wa kesho jumatano dhidi ya Yanga, Kocha Msaidizi wa KMC, Ahmed Ally amesema kuwa mipango yao ni kupata pointi tatu au ikishindikana waipate moja. Mchezo huo wa ligi …

KLABU ya watoza Ushuru wa Kinondoni KMC FC wameapa kuharibu rekodi ya kutokufungwa kwa timu ya Yanga SC kwenye Ligi kuu Tanzania bara, ambapo klabu hiyo ya YANGA mpaka sasa …

Mipango ya Hitmana Thiery ambaye aliwahi kuwa kocha msaidizi wa Simba msimu uliopita nyuma ya Mfaransa Didier Gomez, anayeinoa KMC FC amepania kuharibu rekodi ya Yanga yakutofungwa kwenye mechi 43 …

Klabu ya Azam Fc ipo mbioni kumtimua kocha wake mkuu Dennis Lavagne raia wa Ufaransa baada ya kupata matokeo ya kutoridhisha hivi karibuni na kushindwa kufikia malengo ya klabu hiyo. …

Klabu ya KMC FC ambayo ipo chini ya kocha mkuu Thiery Hitimana imepata ushindi wake Wa pili mfululizo baada ya kuitandika Azam FC kwa mabao 2-1. Kmc ndio waliotangulia kupachika …