Makala nyingine

Makala mpya

Milan Inahangaika Kukubaliana na Masharti ya Maignan
News

Ripoti zinaongezeka kuwa Milan na Mike Maignan wako mbali sana katika mazungumzo ya kusaini mkataba mpya, hivyo anaweza kuuzwa msimu huu wa joto. Kipa huyo anahusishwa na klabu hiyo hadi …

Soma zaidi
YANGA KUJIKAZA KISABUNI KWA MAMELODI
SOKA LA BONGO

UONGOZI wa Yanga umebainisha kwamba hauna tatizo na wapinzani wao kwenye anga la kimataifa Mamelodi Sundowns kwa kuwa vita yao ni ndani ya dakika 90 uwanjani. Yanga wameweka wazi kuwakama …

Soma zaidi
PACOME ANATUA LEO DAR
SOKA LA BONGO

KIUNGO maarufu Kwa Sasa ndani ya Yanga Pacome Zouzoua anatarajiwa kutua Dar es salaam leo tayari Kwa maandalizi ya mchezo dhidi ya Mamelody Sundowns, Machi 30. Pacome alikuwa barani Ulaya …

Soma zaidi
Toni Kroos Kuongeza Mkataba Madrid Mpaka 2025
La Liga

Kiungo wa klabu ya Real Madrid na timu ya taifa ya Ujerumani Toni Kroos inaelezwa yuko kwenye hatua za mwisho za kusaini mkataba mpya wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka …

Soma zaidi
Manchester United Yahusishwa na Onana wa Everton
Daily News

Klabu ya Manchester United imeanza kuhusishwa na kiungo wa kimataifa wa Ubelgiji Amadou Onana ambaye anakipiga katika klabu ya Everton inayoshiriki ligi kuu ya Uingereza. Amadou Onana amekua kwenye kiwango …

Soma zaidi
De Ligt: Sina Mpango wa Kuondoka Bayern
Bundesliga

Beki wa kimataifa wa Uholanzi Matthijs De Ligt ameweka wazi hana mpango wa kuondoka ndani ya viunga vya Allianz Arena na badala yake ataendelea kuitumikia klabu hiyo. De Ligt amekanusha …

Soma zaidi
Baada ya Al Ahly Kutua, Simba Watoa Tamko
SOKA LA BONGO

BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa litawaongezea dozi wachezaji wao kwenye uwanja wa mazoezi kuwa imara zaidi katika mechi wanazocheza ikiwa ni pamoja na safu ya ulinzi ambapo moja …

Soma zaidi
Harry Kane & Eric Dier Kurudi Tottenham.
Daily News

Harry Kane na Eric Dier watakutana na klabu yao ya zamani ya Tottenham Hotspur, wakati Bayern Munich watakapocheza mechi ya kirafiki kwenye majira ya joto mnamo tarehe 10 Agosti. Beti …

Soma zaidi
Kylie Walker 50/50 Kukipiga Dhidi ya Arsenal
Daily News

Beki wa kulia wa klabu ya Manchester City na nahodha wa klabu hiyo Kylie Walker bado haijajulikana kama ataweza kuwepo katika mchezo dhidi ya klabu ya Arsenal siku ya Jumapili. …

Soma zaidi
Messi Hana Mpango wa Kustaafu| Hakupanga Kuondoka Barca, PESG Kilimuondoa Hiki..
Daily News

Nyota wa Inter Miami, Lionel Messi, ameeleza kwamba maisha yake yalibadilika ghafla alipoambiwa hawezi kuongeza mkataba wake na Barcelona lakini masaa 72 baadaye, alikuwa Paris, tayari kusaini na Paris Saint-Germain …

Soma zaidi
1 2 3 4 2,026 2,027 2,028