Klabu ya Liverpool wapo kwenye mchakato wa kukamilisha dili la kumsajili beki wa kati wa RB Leipzig Ibrahima Konate katika dirisha la majira ya kiangazi.

Mpaka sasa imeripotiwa mazungumzo yapo katika hatua nzuri na wakala wa beki huyo wa Kifaransa ambaye ana thamani ya Euro Milioni 40 katika mkataba wake.

 

konate, Konate Kutua Anfield Majira ya Kiangazi., Meridianbet

Konate atakuwa beki wa pili wa kati kuondoka katika timu ya RB Leipzig katika majira ya kiangazi baada ya pacha mwenzie Upamecano kukubaliana kujiunga na miamba ya ujerumani, Bayern Munich katika majira hayo ya kiangazi.

Meneja, Jurgen Klopp amepanga kuimarisha safu yake ya ulinzi kwaajili ya msimu ujao baada ya beki tegemezi, Virgil van dijk kuumia tangu mwaka 2020.


UNAWEZAJE KUKOSA KASINO YA BREAK AWAY LUCKY WILDS INAYOKUPA NAFASI YA USHINDI MURUA.

Break Away Lucky Wilds ni moja ya Sloti pendwa katika kasino za #meridianbet inayokupa mara 11,000X ya dau lako, unayo nafasi ya kuwa milionea unasubiri nini?

konate, Konate Kutua Anfield Majira ya Kiangazi., Meridianbet

CHEZA HAPA

3 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa