Beki wa Rb Leipzig Ibrahima Konate amemtaja mshambuliaji wa Chelsea, Timo Werner kama mchezaji hatari zaidi kukutana nae kuliko Erling Haaland.

Konate aliulizwa na chombo kimoja cha habari ni mshambuliaji gani ni hatari zaidi kukutana nae kati ya Robert Lewandoski, Werner na Haaland.

 

konate, Konate :Lewandoski, Werner ni Hatari Kuliko Haaland., Meridianbet

Werner ameifungia Chelsea na Ujerumani magoli 2 katika michezo 31 ambayo ameichezea mpaka sasa, wakati haaland amefunga magoli 33 katika michezo 33 akiwa na Dortmund pekee.

Japokuwa Konate amekuwa na werner katika kila wiki katika mazoezi walipokuwa pamoja katika klabu ya Rb Leipzig, wakiwa wamecheza mechi 57 pamoja katika misimu 3 waliocheza pamoja.


INAWEZEKANA KUWA MILIONEA BILA KUVUJA JASHO NA KASINO YA ODD ONE OUT.

Odd One Out kutoka Meridianbet ni moja ya kasino maridhawa yenye picha halisi, ambayo inakupa nafasi ya kushinda kadri uwezavyo na kuwa milionea mara baada ya mzunguko kukamilika.

konate, Konate :Lewandoski, Werner ni Hatari Kuliko Haaland., Meridianbet

CHEZA HAPA

2 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa