Kiungo wa Chelsea, Mateo Kovacic anatarajiwa kukosa mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya timu yake ya zamani, Real Madrid pale Santiago Bernabeu.

Kocha Thomas Tuchel amedhibitisha hayo kwenye mkutano wake na waandishi wa habari kabla ya mechi dhidi ya West ham inayotarajiwa kupigwa leo katika dimba la London.

 

kovacic, Kovacic Kuikosa Madrid Nusu Fainali ya UEFA., Meridianbet

Tuchel amedhibitisha kikosi chote kipo tayari kwaajili ya mchezo isipokuwa Kovacic, ambaye amekuwa akiendelea vizuri lakini si haraka ya kutosha kushiriki katika mojawapo ya mechi mbili zijazo.

“Mateo Kovacic bado yuko nje lakini kila mtu mwingine anapatikana,” alisema Tuchel.

“Kwa mimi binafsi, nadhani tunaweza kutumaini Fulham lakini msichukue kama ushauri wa matibabu. Labda Physio na madaktari wataniua kwa hilo lakini nadhani inawezekana kurudi tena dhidi ya Fulham, ambayo iko kati ya michezo ya Madrid.” aliongeza


MKWANJA MARIDHAWA NA KASINO YA 777 MEGA DELUXE

Nafasi nyingine kwaajili yako, kasino mpya yenye hadhi ya kipekee inayokupa kila sababu ya kuwa mshindi katika kasino za Meridianbet, anza siku yako na njia rahisi ya kutengeneza mkwanja.

kovacic, Kovacic Kuikosa Madrid Nusu Fainali ya UEFA., Meridianbet

CHEZA HAPA

9 MAONI

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa