Meridianbet Ndiyo kampuni bora namba moja ya ubashiri Tanzania! Ni rahisi kujisajili Meridianbet! Tunakupatia machaguo ya michezo mingi na yote maarufu kutoka kona zote za ulimwengu.

Usijiulize Kwa nini uchague Meridianbet!

Ndiyo kampuni yenye Odds kubwa, zinazolipa zaidi. Michezo mingi inayokuwa uwanja mkubwa wa kubashiri, kuanzia soka mpaka michezo ya kasino ya mtandaoni.

Machaguo (Options) mengi kuliko kampuni yeyote Tanzania, kuanzia matokeo ya kawaidia, idadi ya magoli, kadi, wachezaji wanaofunga na mengine kibao! Ni wewe tu kuamua uchague namna gani ya kutengeneza mkwanja!

Kujisajili Meridianbet

Jinsi ya kujiunga ni rashisi mno! Fuata hatua hizi hapa

1. Pakua App ya Meridianbet kisha nenda sehemu ya kujisajili (Register), pia unaweza kutumia tovuti ya meridianbet.co.tz kisha fungua Register kujisajili.

2. Ukifungua Register, unapata fomu ya kujaza taarifa zako kama inavyoonekana hapa chini. Jaza kwa umakini (kumbuka neno lako la siri utakalo chagua). Sehemu ya Promo Code jaza: RED, Ukimaliza kujisajili bonyeza Register 

Fomu ya kujisajili Meridianbet
Muonekano wa fomu ya tarifa za usajili.  Sehemu ya kwanza; Bonyeza “NEXT” ukimaliza kujaza sehemu hii.
Meridianbet Jisajili
Sehemu ya ‘Promo Code’ Jaza RED Bonyeza “REGISTER” ukimaliza kujaza sehemu hii. Kisha tazama ujumbe unaotumwa kwenye simu yako.

3. Ukimaliza kujisajili tazama ujumbe kwenye simu yako, utakuwa umepokea link ya kurasimisha akaunti yako ili uanze kubashiri, fungua link hiyo kwa App.

4. Utapokea ujumbe kwenye simu kuwa akaunti yako imeshakuwa “Activated” hapa uta login na kuanza kuweka pesa kwenye akaunti yako!

Umekwama sehemu yeyote hapo katika kujisajili Meridianbet? Usiwaze, wahudumu wa meridianbet wapo kwa ajili yako kukusaidia mwanzo mwisho. Tutumie email hapa [email protected]

Pakua App hapa kujisajili :BONYEZA HAPA KUPAKUA APP

Au jisajili kupitia hapa: JISAJILI KWA TOVUTI


 

WEKA PESA KUPITIA DUKANI MERIDIANBET!

Chukua namba yako ya akaunti na kiasi cha pesa unachotaka kuweka, sogea kwenye duka lolote la Meridianbet lililo karibu nawe utasaidiwa kuweka pesa.

Weka Pesa Meridianbet

WEKA PESA

62 MAONI

  1. Nafurahi Sana kuona ni jinsi gani mmeweka utaratibu rahisi wa wateja wenu kujipatia mkwanja kwa njia rahisi Kama hii.

  2. Nashukuru kwa kunipa muendelezo wa kijiunga na online maana nilikuwa nashindwa kabisa pamoja sana kwan nawakubali %100#meridianbettz

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa